Wale waliopita bording

mwita ke mwita

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2010
Posts
7,922
Reaction score
3,618
kwa wale waliosoma shule za bording na single sex mnakumbuka nini kuhusu wake/waume zenu? shule moja huamini kuwa wake zao ni shule fulani katika madisco wao hupewa kipaumbele sana na kama kuna mashindano yoyote yale vijana hujituma waonekane bora kuliko shule nyingine. kwa wale waliowahi kuwa tabora, kwenye shule kubwa za pale, MILAMBO, TABORA BOYS, TABORA GIRLS, KAZIMA mabifu huwa hayaishi kisa wasichana na wavulana. je! wewe shule uliyosoma wewe, shule gani mlikuwa mnawachukulia kama wake zenu/wame zenu na mlikuwa mkiwaalika katika kila matukio muhimu
 
hii hadithi inatufundisha nini??
 
Nakumbuka Loleza girls tulikuwa tunawaita Iyunga "njuga" then wanaume wa ukweli ni MTC
loloo ikiwa siku ya disco ni balaa tupu full shangwe kila mtu na (MUMTC) WAKE
 
Mchanganyiko jee waume walikuwa si humohumo??
 

hivi bording ndio shule za aina gani hizo? au ndi za "boarding"

macinkus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…