mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
kwa wale waliosoma shule za bording na single sex mnakumbuka nini kuhusu wake/waume zenu? shule moja huamini kuwa wake zao ni shule fulani katika madisco wao hupewa kipaumbele sana na kama kuna mashindano yoyote yale vijana hujituma waonekane bora kuliko shule nyingine. kwa wale waliowahi kuwa tabora, kwenye shule kubwa za pale, MILAMBO, TABORA BOYS, TABORA GIRLS, KAZIMA mabifu huwa hayaishi kisa wasichana na wavulana. je! wewe shule uliyosoma wewe, shule gani mlikuwa mnawachukulia kama wake zenu/wame zenu na mlikuwa mkiwaalika katika kila matukio muhimu