safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Wapo ambao hawana mzee..Duuu kuna mtoto asiyo na hizo tabia kweli sasa hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo ambao hawana mzee..Duuu kuna mtoto asiyo na hizo tabia kweli sasa hivi?
Hakikisha anakutumia matokeo yake hata ya test tu. Maana wengi wakifika huko shule wanaacha. Unashangaa miaka inafika hata degree hana na pesa ulikuwa anamtumia. Ila wewe ndo unamjua zaidi binti yako. Kwanza anapenda shule haswa haswa ?Ana malengo ?
Kama una uwezo wa mpeleke. Kwanza Canada baridi. Hiyo high life atafanya wakati wa summer vyuo vikiwa vimefungwa.Anapenda shule sana, ana malengo na ana uwezo ila pia anapenda mziki na high life kwa ujumla
Nakumbuka mzazi mmoja kutoka Kwimba aliongea na Mkuu wa chuo kuwa nimeweka na pesa ya hostel wakati binti yake anaishi mitaani. Kwani watoto wa day hawapati mimba na bado wanaishi na wazazi wao nyumba moja?Maendeleo yake ya chuo.
Nina ki-experience kidogo kutoka Bara la Asia nilifanyaga Msc huko. Kwakweli watoto wa first degree wengi wanakuwa hawajakomaa kimtazamo wa maisha, kule niliposoma wengi walimaliza kwa mwamvuli wa kuwa ni International students tu (Ilikuwa ni nadra sana kusikia int students ka-disco). Lakini kusema kwamba unategemea aende kuwiva kiupeo kwenye fani husika mmh itategemea mwanao ni smart kiasi gani kukwepa social influences.
Kwa ushauri wangu mpeleke nje Masters na kuendelea.