Wale waliowahi kuchangia room Guest na mtu usiemuelewa ambaye ni jinsia tofauti wakati wa kuwa safarini...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Il
Mimi hii ilinitokea shinyanga, 2011 nafikiri.
Demu mpaka leo anisahau.
 
Nimecheka kwa sauti halafu ni ofisini na niko alone
 
Hamkwenda kuoga pamoja? Najaribu tu, kufikiri uli lala na suruali yako kiunoni mkuu au ulivua? Mkajifunika shuka moja kuka pambazuka kabisa? Nahisi mapigo ya moyo yakizidi mbio
 
Wwe ulikuw ddm bila Shaka kwenye interview ya tra wengi walishare room kwa kokosa chumba mm mwenyewe nilishare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…