Wale Waliowahi Kufanya Usaili wa Kwanza Tume ya Utumishi Mahakama Mwaka 2024 Mpo? Tupe Ushuhuda Wako!

Wale Waliowahi Kufanya Usaili wa Kwanza Tume ya Utumishi Mahakama Mwaka 2024 Mpo? Tupe Ushuhuda Wako!

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,236
Reaction score
10,774
Habari ndugu wanajukwaa,
Tumeona orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili wa kwanza wa Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC) imetoka rasmi. Wengi wa ndugu zetu na marafiki wamebahatika kuchaguliwa.

Kwa wale mliowahi kufanya usaili huu mwaka 2024 — tunaomba mtushirikishe uzoefu wenu:
🔹 Maswali mliyoulizwa
🔹 Mazingira ya usaili wa kielektroniki
🔹 Ushauri kwa walioitwa safari hii

Hebu tusaidiane kwa kutoa mwanga kwa hawa waliobahatika kuitwa sasa.
Tafadhali usisite kushiriki uzoefu wako — hata kidogo huweza kumsaidia mtu!

NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI
 
Tuanze na afisa utumishi
1: maswali ni 20
2: ni ya kuchagua
3: yamebase kwenye job description yako
4: jitahidi ikiwezekana Google Q and answer yanayoulizwa yanayohusiana na HR
5: hakuna upendeleo jitahidi kusoma kwa umakini na kuelewa swali
6: mahakama wako fair sana
7: kila la kheri kwa msaada zaidi njoo pm
 
Wakuu habari za sahizi hivi matokeo ya usaili wa tume ya mahakama kwa mwenye taarifa anijulishe au tuendelee kusubiri.
 
1: maswali ni 20
2: ni ya kuchagua
3: yamebase kwenye job description yako
4: jitahidi ikiwezekana Google Q and answer yanayoulizwa yanayohusiana na HR
5: hakuna upendeleo jitahidi kusoma kwa umakini na kuelewa swali
6: mahakama wako fair sana
7: kila la kheri kwa msaada zaidi njoo pm
SHUKRAN KWA MSAADA
naomba msaada kada ya ulinzi maswali yake yanatoka kwa mfumo gani? maana nimechaguliwa kwenye usaili mwaka huu lakn sijuii nianzie wapi kwa kada hiyoo boss? msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom