mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kama 30 mingi na mwenye miaka 60 utamwambiaje?kumbuka miaka 30 ni mingi mno
Acheni kutisha watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama 30 mingi na mwenye miaka 60 utamwambiaje?kumbuka miaka 30 ni mingi mno
Wewe jamaa una mambo za ajabu maana kama ni mwanaume kamili ushaweka mke ndani unashindwa vipi kumhudumia.....kikubwa oa mwanamke wa hadhi yako.Ukiacha fasheni na ulimbukeni toa hasa faida ya kuwa na mtoto wakati huna hata mia mbovu zaidi ya kutujazia MALAYA,OMBAOMBA, VIBAKA,MACHINGA,MACHAWA,MAWINGA na MAJAMBAZI mitaani.
Sio kuupenda Umasikini, wewe ndio Mvivu wa kutafuta ikiwa utashindwa hata hela ya chakula kizuri kwa mwanaoAtakula mihogo daily na dagaa wanaolazimishwa kuitwa dagaa nyama. Atavaa mtumba. Atasoma St Kayumba. Dah kuna watu mmeukubali UMASKINI NA MAMBO YAKE YOTE... Yaani mnaupenda umaskini balaa. Kupata mtoto ukiwa maskini ni laana ya kuendeleza poverty cycle
JIBU SWALI LANGU LA MSINGI HAPO,,,,,,,,,,, NI SABABU GANI HASA INAKULAZIMU WEWE ULETE KIUMBE HAI HAPA DUNIANI ILHALI WEWE MWENYEWE HUJITOSHELEZI????Wewe jamaa una mambo za ajabu maana kama ni mwanaume kamili ushaweka mke ndani unashindwa vipi kumhudumia.....kikubwa oa mwanamke wa hadhi yako.
SASA WEWE AKILI HUNA KABISA HIVI UNAZAA UKIWAZA MTOTO WAKO AKAISHI KWA FULANI YANI STAREHE ZAKO UNATAKA UMBEBESHE NANI HUO MZIGO WA MALEZI.Ameeleza jambo la msingi sana.
Kwa nchi yetu hii ukipata mtoto hata kama huna hata 100, still atakula, atavaa na atasoma vizuri...tuna ujamaa bado amini ninachokuambia...labda kama hujaishi nchi zingine za kibepari au ht hapo Kenya
Uraweza kuchelewa kupata mtoto ukaja kumpata ukiwa na 35 hlf maisha yakawa yaleyale bila mabadiliko makubwa ukabaki na same wishes...na wengi wanaochelewa kupata watoto wanapitia katika hili kosa
Kuna kazi kubwa ya kutoa matope kwenye vichwa vya viumbe wanaoitwa waafrika. Ni hatari sana mtu anakuwa hana VISION,MISSION wala OBJECTIVES zozote hapa duniani huyu atakuwa mharibifu tu maana yeye kwake kila kitu sawa tu.Atakula mihogo daily na dagaa wanaolazimishwa kuitwa dagaa nyama. Atavaa mtumba. Atasoma St Kayumba. Dah kuna watu mmeukubali UMASKINI NA MAMBO YAKE YOTE... Yaani mnaupenda umaskini balaa. Kupata mtoto ukiwa maskini ni laana ya kuendeleza poverty cycle
Acha kutisha madogo wewe!..unataka wavae mashati ya vitenge kama wanafanya kaza halmashauri!?1-Fahamu kwamba ndo unaingia miaka 30. (ni mingi mno)
2-Hakikisha una mtoto
(kuoa sio muhimu ila hakisha una mtoto)
3- Kama umesoma huna ajira anza kusaka ajira rasmi
4-Bana matumizi, punguza matumizi ya social media ,pombe sigara
5-Stop kukumbizana na wanawake .
6-Jifunze kuvaa vizuri ,sio kila siku wewe ni vikaptula/vibukta na jezi.
🤣💓Eti hakikisha uwe na mtoto, upumbavu tu huyo mtoto anakupa hela?
Eti hakikisha uwe na mtoto, upumbavu tu huyo mtoto anakupa hela?