Saidy Januzaj
Member
- Apr 13, 2014
- 69
- 10
wana jf mm nimemaliza kidato cha nne 2013 na nilikua niko mchepuo wa science.nilifaulu masomo mawili na moja nikapata D ila post zilivyotoka nimechaguliwa comb ya arts hgk..sasa cjui chochote kuhusiana na comb hii.naomba mnisaidie kuniambia kama hii comb n nzuri kwaajira za tz na mnambie ajira ambazo wawezapata kutokana na comb hii..au nibadilishe comb ipi ambayo inaweza kuwa rahisi kupata ajira na ni ajira gani ila iwe ya atrs kwasababu shule niliyochaguliwa haina science...plz nisaidieni wana JF....