wale wanaoijua comb ya hgk vzuri nijuzeni

wale wanaoijua comb ya hgk vzuri nijuzeni

Saidy Januzaj

Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
69
Reaction score
10
wana jf mm nimemaliza kidato cha nne 2013 na nilikua niko mchepuo wa science.nilifaulu masomo mawili na moja nikapata D ila post zilivyotoka nimechaguliwa comb ya arts hgk..sasa cjui chochote kuhusiana na comb hii.naomba mnisaidie kuniambia kama hii comb n nzuri kwaajira za tz na mnambie ajira ambazo wawezapata kutokana na comb hii..au nibadilishe comb ipi ambayo inaweza kuwa rahisi kupata ajira na ni ajira gani ila iwe ya atrs kwasababu shule niliyochaguliwa haina science...plz nisaidieni wana JF....
 
kama unataka kusoma arts chagua combination yenye Geography, HGK ni nzuri kama unaweza piga HGE
 
Back
Top Bottom