Kayla
JF-Expert Member
- Apr 13, 2011
- 256
- 77
Ktk kutaka kupima kina cha maji.kama mpenz wako anakupenda usifanye kama huyu shostito...alifikr atapimaje upendo wa boyfriend wake iwapo atamsms hivii..'Helo nakuomba kuanzia leo usinitafute wala kunipgia,maana x boyfrend wangu amerud toka sweden na amekuja kunioa,zaid naomba unirudshie ile picha yangu pendwa'' mpenz wake katika kutafakari nayeye amuumize vip akaenda kwa wachumba wa rafik zake na kukusanya mapicha tofauti kama pc 18 hiv,akamtumia na kumwambia ninao wachumba wengi sana hata sikukumbuki wewe ni yupi kati ya hawa'hebu tafuta picha yako then unirudshie za wenzako...hapo hakuna hata mojawapo ya picha ya huyo shosti..:A S-frusty2: