Wale wanaopenda kujifukiza udi kwenye nguo zao naomba mnieleweshe

Wale wanaopenda kujifukiza udi kwenye nguo zao naomba mnieleweshe

Vumbi la congo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
666
Reaction score
981
Nataka kuachana na mambo ya kujipulizia perfume..nianze kuingia kwenye ulimwengu wa udi,,sasa wale wazoefu wa kutumia udi je udi gani ni mzuri na naupata wapi..haruf ya udi imetokea kunivutia sana
 
Mimi huwa najua udi ni kwa yale mamama mabonge ya Kiswahili.
 
wanaume tunapungua sana....
we'll soon be endangered species...
 
Udi uko na haruf nyingi chagua ile utakayoipenda kuna kitu kinaitwa chetezo kipo cha umeme na hivi vya udongo ukikosa tumia kikombe cha dongo weka makaa ya moto choma udi wako fukiza nguo yako
 
Kama nakuona mtoto wa kiume umejifunika shuka ukijifukiza udi!!!....

Joke
tatizo lenu nyie wananwake huwa mnadhan kuwa mwanaume ni kuwa mchafu kunuka jasho..wakat hata iman za din zinafundisha kuwa binadam tujipende...tena usikute ww unakejeli kumbe mpaka shanga unavaa
 
Udi uko na haruf nyingi chagua ile utakayoipenda kuna kitu kinaitwa chetezo kipo cha umeme na hivi vya udongo ukikosa tumia kikombe cha dongo weka makaa ya moto choma udi wako fukiza nguo yako
je udi unauwez wa kukaa muda mrefu kwenye nguo kulik perfume
 
Back
Top Bottom