Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udi mkuu!!! Aheri upake misk. Udi watu watakushangaa sana,hayo mavitu yanatumiwa na wadada aseeNataka kuachana na mambo ya kujipulizia perfume..nianze kuingia kwenye ulimwengu wa udi,,sasa wale wazoefu wa kutumia udi je udi gani ni mzuri na naupata wapi..haruf ya udi imetokea kunivutia sana