Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 666
- 981
vp unataka nikuoeMkuu wewe ni KE au ME??
vp unataka nikuoe
Nunua udi wa Bint Al Arab au Maryam ni mzuri sanaNataka kuachana na mambo ya kujipulizia perfume..nianze kuingia kwenye ulimwengu wa udi,,sasa wale wazoefu wa kutumia udi je udi gani ni mzuri na naupata wapi..haruf ya udi imetokea kunivutia sana
tatizo lenu nyie wananwake huwa mnadhan kuwa mwanaume ni kuwa mchafu kunuka jasho..wakat hata iman za din zinafundisha kuwa binadam tujipende...tena usikute ww unakejeli kumbe mpaka shanga unavaaKama nakuona mtoto wa kiume umejifunika shuka ukijifukiza udi!!!....
Joke
je udi unauwez wa kukaa muda mrefu kwenye nguo kulik perfumeUdi uko na haruf nyingi chagua ile utakayoipenda kuna kitu kinaitwa chetezo kipo cha umeme na hivi vya udongo ukikosa tumia kikombe cha dongo weka makaa ya moto choma udi wako fukiza nguo yako
Goodvp unataka nikuoe
itategemea na udi unaotumia,hata hivo nakushaur labda ujaribu al ud hizi zinakaa sana kwenye nguoje udi unauwez wa kukaa muda mrefu kwenye nguo kulik perfume