Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Ninzo models 2 lakini utendaji unafanana.
KWANINI UTUMIE HIZI ROUTERS?
Faida ya hizi unaweza kufanya management ukiwa popote na simu yako. Hata kwa kutumia bando la kawaida.
Zina band 2 zote yani 2.4Ghz na 5Ghz wazee wa streaming na gamers hapo penyewe.
Zilizoponi AC11 ambayo ni 140,000
Na AC7 ambayo ni 120,000
Kwa wajasiriamali wa WiFi hizi zinawafaa sana. Hazina shida nilikuwa natumia mwenyewe sema nimeamua kuachana nazo sababu nimenunua mtambo mkubwa zaidi.
Kwa maelezo zaidi 0625547181