Wale wanaume mnaohudumia michepuko na kuwapa mitaji piteni hapa mjifunze

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Mara kadhaa huwa nikiboeka napita YouTube nakucheka sana visa Mikasa na kujifunza sana kuhusu hawa wanawake namna gani wasivyokuqa na shukrani na vile wanatamaa zaidi ya fisi.

Hapa chini ni kisa cha Mbaba mmoja aliyejitutumua na kumjari sana mchepuko wake.

Basi baada ya valentine kupita akaagiza jamaa hawa wapeleke zawadi kwa my valentine wake akiwaambia sharti ni moja tu amtaje mpenzi wake ndo apokee Ile mizawadi!!

Na hapo kizaa zaa kilipoanzia yule demu badala ya kumtaja mbaba wake anayemuweka mini basi akampigia simu boyfriend wake asee

Ebu jionee mwenyewe

View: https://youtu.be/WwEj90HWKbE?si=bzCQyG6N0x5pVyJh

Pia nitaweka link mbalimbali hapa ili tujifunze kitu
 
Maigizo hayo
 
Huyo aliwekeza sana ila hawa watu wanasaidiq sana .bila mimi kuna mwana hapa mtaani ndoa yake isingekuwepo.
 
Back
Top Bottom