cha tabora
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 424
- 208
Wengine wanao ringia shape hua wanaishia kuchangia harusi za wenzao ili hali wao wanazeekea kwa wazaziNa si shape tu... hata kama ana uzuri usoni kama wa malaika. Kama kichwani ni empty.... yaan 0 a.k.a hajielewi.. anaona huo uzuri ndio na shape ndio ambavyo vitampa maisha... hapo anajiloga . Hiyo shape itawashibisha wenye tamaa... lakin wanaume wenye akili na busara hawatoweza kwenda huko.
Hapo ndo majuto yanapoanzia, na watu hata hawafuati mifano hai,Ni kweli wakuu hii nimeishuhudia
Ninae jiran yangu kaoa mwanamke mwenye shape tako kaa nick minaj ila kichwan ni empty anamsumbua mshikaji kinoma had mwenyew anajuta kumuo kamzalisha watoto wawili lakin wap, dem hawaz maendeleo wala nn yeye ni kuvaa na mitoko tuu
Niko UDSM hapa kati ya waliokatiza nawaona hao wa mashepu na sura. Na ni wanafunzi wa UDSM. Au kuna tatizo la vyeti hapa mkuu, kama ulichosema ni sahihi!!vigumu kumpata yaan 1 in a milion