Wale Wanawake Wanaoringia Shepu

Wale Wanawake Wanaoringia Shepu

Na si shape tu... hata kama ana uzuri usoni kama wa malaika. Kama kichwani ni empty.... yaan 0 a.k.a hajielewi.. anaona huo uzuri ndio na shape ndio ambavyo vitampa maisha... hapo anajiloga . Hiyo shape itawashibisha wenye tamaa... lakin wanaume wenye akili na busara hawatoweza kwenda huko.
Wengine wanao ringia shape hua wanaishia kuchangia harusi za wenzao ili hali wao wanazeekea kwa wazazi
 
bc9c270baaa73dde70bbd85468f54c90.jpg
 
Ni kweli wakuu hii nimeishuhudia
Ninae jiran yangu kaoa mwanamke mwenye shape tako kaa nick minaj ila kichwan ni empty anamsumbua mshikaji kinoma had mwenyew anajuta kumuo kamzalisha watoto wawili lakin wap, dem hawaz maendeleo wala nn yeye ni kuvaa na mitoko tuu
Hapo ndo majuto yanapoanzia, na watu hata hawafuati mifano hai,
wacha waisome namba
 
vigumu kumpata yaan 1 in a milion
Niko UDSM hapa kati ya waliokatiza nawaona hao wa mashepu na sura. Na ni wanafunzi wa UDSM. Au kuna tatizo la vyeti hapa mkuu, kama ulichosema ni sahihi!!
 
Sema wenye shepu wana akili lakini hua wanajisahau hawazitumii kwa sababu wanatumia shepu kulengea.. [emoji1] sasa ona atakavoumia kama wanaume wote wakiwa kama wewe
 
Back
Top Bottom