Wale wapenda chapati lakini wavivu wa kukanda unga

Wale wapenda chapati lakini wavivu wa kukanda unga

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1538267437767.jpeg

1538267839119.jpeg

Bread maker inakanda unga vizuri sana , una iset isimame kabla haijaanza baking. Weka vipimo vyako sawa
 
kuna kaka mmoja aliniambia alianza biashara ya bites for breakfast kwa machine hii. Alianza na kilo mbili mwisho wateja waliongezeka.

Alifunga chapati moja na maandazi mawili kwenye cling film na kupeleka maofisini

1538270773704.jpeg
 
Hiyo inakanda tu, me nataka inayokatakata yale mabonge na kuyasukuma moja kwa moja, iwe kazi yangu ni kukaanga tu...
 
Ntaanza kuipenda teknolojia pale nitakapo-download chakula tu
 
Hiyo inakanda tu, me nataka inayokatakata yale mabonge na kuyasukuma moja kwa moja, iwe kazi yangu ni kukaanga tu...
Hizo zinauzwa frozen kwa Bakhresa nyumbani unachoma tu.
 
Back
Top Bottom