Wale wapenda chapati lakini wavivu wa kukanda unga

Wale wapenda chapati lakini wavivu wa kukanda unga

Eeh,.afadhali jamanii maana nakanda ngano hadi makwapa na uti wa mgongo vimekutana,.kila siku mwili umekaza..looh

ashukuriwe aliyegundua kwakweli..
 
Tofauti ya hiyo na ile mashine ya kukanda Unga wa ngano nini
 
Tofauti ya hiyo na ile mashine ya kukanda Unga wa ngano nini
Hii ina kanda na kuoka mkata ukiiset ile I aka day tu. pia hii ni kwa matumizi ya nyumbani haichukui zaidi ya kilo mbili
 
Back
Top Bottom