Wale wapenda chapati lakini wavivu wa kukanda unga

kuna kaka mmoja aliniambia alianza biashara ya bites for breakfast kwa machine hii. Alianza na kilo mbili mwisho wateja waliongezeka.

Alifunga chapati moja na maandazi mawili kwenye cling film na kupeleka maofisini

Hiyo inakanda tu, me nataka inayokatakata yale mabonge na kuyasukuma moja kwa moja, iwe kazi yangu ni kukaanga tu...
 
Ntaanza kuipenda teknolojia pale nitakapo-download chakula tu
 
Hiyo inakanda tu, me nataka inayokatakata yale mabonge na kuyasukuma moja kwa moja, iwe kazi yangu ni kukaanga tu...
Hizo zinauzwa frozen kwa Bakhresa nyumbani unachoma tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…