Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,166 Reaction score 13,514 Oct 13, 2018 #21 Sky Eclat said: 🤭 Click to expand... [emoji23] [emoji23]
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,677 Reaction score 45,532 Oct 18, 2018 #22 Eeh,.afadhali jamanii maana nakanda ngano hadi makwapa na uti wa mgongo vimekutana,.kila siku mwili umekaza..looh ashukuriwe aliyegundua kwakweli..
Eeh,.afadhali jamanii maana nakanda ngano hadi makwapa na uti wa mgongo vimekutana,.kila siku mwili umekaza..looh ashukuriwe aliyegundua kwakweli..
Seawhale JF-Expert Member Joined Sep 25, 2016 Posts 1,477 Reaction score 1,668 Oct 21, 2018 #23 Sky Eclat said: Hizo zinauzwa frozen kwa Bakhresa nyumbani unachoma tu. Click to expand... Hivi bado zipo sokoni!?
Sky Eclat said: Hizo zinauzwa frozen kwa Bakhresa nyumbani unachoma tu. Click to expand... Hivi bado zipo sokoni!?
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,422 Reaction score 7,350 Oct 22, 2018 #24 Tofauti ya hiyo na ile mashine ya kukanda Unga wa ngano nini
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Oct 23, 2018 Thread starter #25 Adharusi said: Tofauti ya hiyo na ile mashine ya kukanda Unga wa ngano nini Click to expand... Hii ina kanda na kuoka mkata ukiiset ile I aka day tu. pia hii ni kwa matumizi ya nyumbani haichukui zaidi ya kilo mbili
Adharusi said: Tofauti ya hiyo na ile mashine ya kukanda Unga wa ngano nini Click to expand... Hii ina kanda na kuoka mkata ukiiset ile I aka day tu. pia hii ni kwa matumizi ya nyumbani haichukui zaidi ya kilo mbili
Bin Chuma JF-Expert Member Joined Dec 13, 2013 Posts 313 Reaction score 244 Oct 23, 2018 #26 Yajayo yanafurahisha, huko tuendako hakutakuwa na haja ya kumilikiana(kuoana).
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Oct 23, 2018 Thread starter #27 Bin Chuma said: Yajayo yanafurahisha, huko tuendako hakutakuwa na haja ya kumilikiana(kuoana). Click to expand... Utapataje familia
Bin Chuma said: Yajayo yanafurahisha, huko tuendako hakutakuwa na haja ya kumilikiana(kuoana). Click to expand... Utapataje familia