Agogwe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 2,742
- 3,000
Kwa wale wapenda makeup karibuni tutete
1. Unaanza na conceler, hii inaziba madoa, makovu na weusi chini ya macho
![]()
concealer meaning - Bing video
2. Foundation.
Tafuta inayoendana na rangi yako na upake kuleta ngozi ya rangi moja usoni, ni kama kupaka rangi. kuna liquid foundation, cream powder
![]()
foundation makeup meaning - Bing video
Contour
Haya yote mnafanya kwa ajili yetu wanaume!!! poleni sana, Mnapendeza sana mnapokuwa natural pamoja na hayo madoa na mashimo kuliko hizo rangi mnazopaka.