Wale wapenda makeup

Haya yote mnafanya kwa ajili yetu wanaume!!! poleni sana, Mnapendeza sana mnapokuwa natural pamoja na hayo madoa na mashimo kuliko hizo rangi mnazopaka.
 
Inategemea uso wako ni wa mafuta au mkavu kabla hujajua utumie nini..kama ni wa mafuta usipake kitu vitapotea kama ni mkavu paka kiazi mbatata tu asubuhi na jioni
Nirekebisha kwanza huu uso,haya mapele yatoke kwanza ndo ntaangalia ustaarabu mwingine kama nitafute products zenye quality au niendelee ru na poda yangu ya baby johnson[emoji3][emoji143]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…