Wale wapenda mishikaki ovyo barabarani msiseme sijawaambia

Picha ya muda mrefu sana hiyo na sidhani kama ni Tz, anyway mbwa Watamu sana
 
Labda nyoka tu nyama yake unaweza hisi sio nyama OGs,
Lkn mbwa,punda,paka,fisi na vikolokolo vingine mfano vichanga vinavyotolewa matumboni mwa ng'ombe achinjwapo.Na vingine vyote vikitengenezwa mshikaki ni nyama tamu sana.
Viva mishikaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…