Wale wapenda series tuje tupeane series kali za kutizama bila kuchosha jicho kwa kioo bila kupepesa

Wale wapenda series tuje tupeane series kali za kutizama bila kuchosha jicho kwa kioo bila kupepesa

Umeanza lini kuangalia series?

Sent using Jamii Forums mobile app
Muda tu watu wanachukulia kam Leo tu nimeanza kuangalia izo za juu ni baadh ya series nilizo zipenda nimeangalia nying iz baadh
Viking
Merlin
Fear the walking dead
The 100
Lost
24 hrs
24 legacy
Arrow
Lord of the rings
Home land
The wire
London kills
A man called god
Dead silent--naitazama sasa
Who kill tupac--naitazama sasa
Dual survival
In to the badland
Iris
The hunt
No man land
Kingdom of hospital
Meat eater
The long wait
The fade
Spider man unlimited
To the lake
Wolf blood
N.k n.k
 
Ipo google tu aipo play store sjui ina mb ngapi kwa sasa ila azizidi 100
Kama vip naomba unipe link au nisceenshot nione mb zake ni ngapi? Lengo langu sio kubana mb la hasha ni kujua hiyo app ni ipi maana hizo app zipo nyingi ni mgumu kujua uliomention iko wapi
 
Kama vip naomba unipe link au nisceenshot nione mb zake ni ngapi? Lengo langu sio kubana mb la hasha ni kujua hiyo app ni ipi maana hizo app zipo nyingi ni mgumu kujua uliomention iko wapi
IMG_20210420_0001.jpeg
jaribu iyo apo imekaa na google play iyo lakin aipo uko bofya download chin ya ilo neno la google play itaelekea kwenye dowload direct
 
Muda tu watu wanachukulia kam Leo tu nimeanza kuangalia izo za juu ni baadh ya series nilizo zipenda nimeangalia nying iz baadh
Viking
Merlin
Fear the walking dead
The 100
Lost
24 hrs
24 legacy
Arrow
Lord of the rings
Home land
The wire
London kills
A man called god
Dead silent--naitazama sasa
Who kill tupac--naitazama sasa
Dual survival
In to the badland
Iris
The hunt
No man land
Kingdom of hospital
Meat eater
The long wait
The fade
Spider man unlimited
To the lake
Wolf blood
N.k n.k
Mkuu list yako imekamilika #i appreciate
 
Sawa wapenzi wa series.
Naendelea kuunganisha channel za Netflix ambazo utatumia Bila kujiunga (tumia Hadi utakapochoka/ unlimited bandle) njoo na ofa hako Pm.
 
Back
Top Bottom