Wale wapenzi wa Crime Movies. Ebu tazama hizi psychological crime movies. Zinafikirisha vibaya mno

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
1: Seven

Bradd Pitt and Freeman kama polisi wanajaribu kusolve mauaji yanayoendelea na kutekelezwa na muuaji ambayo yuko inspired na dhambi saba za mauti.

2: American Psycho

Jamaa anaonekana mtu poa sana na mwenye mafanikio ila moyoni anajaribu kuficha roho yake mbaya ya ubinafsi then baadae akaanza kuwa na fantasies za kufanya mauaji na ilibidi akidhi kiu ya fantasies zake.

3:The Silence of the lambs

Daktari wa akili ambae yuko gerezani kutokana na mauaaji anaombwa msaada na officer wa fbi ili kukabiliana na mauaji yanayoendelea dhidi ya wanawake.

4: Nightcrawler

Jamaa ambae anaamua kujiaajiri na camera ya kurekodi matukio ya usiku ili aweze kuuzia vyombo vya habari anaamua kwenda zaidi ya kazi yake bila ya kujali utu au kutotokea kwa tukio baya ili tu aweze kurekodi tukio.

5: The Shining
 

Attachments

  • bc661054e1911c77176bf669031a97bf.jpg
    140.6 KB · Views: 7
  • db29bdc534a1e9f97f4bd3d96d76d6b8.jpg
    45.5 KB · Views: 8
Iyo seven naikubali vibaya mnoo...mzee mzima Jon Doe 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…