Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Af hii nishaizoea saivi silewi, nitafutie basi kitu kipya nitestNikikuiga wewe nakufa fastaaa😅
Naona uko unakunywa mifuko ya simenti hapo 😀😀😀View attachment 2536811
Chat na picha ya kinywaji🥂
😂😂😂Huyo Ni mwehu!kwenye kilevi Nina hakika Yesu hakuwa na tatizo kabisa ndio maana kwenye Ile harusi ya kana ya galilaya alifanya yake,😂😂😂😂😂 kuna mwingine alisema eti Yesu hakukataza ushoga wala kubadili jinsia
Nilishamaliza kujenga kitambo sana mkuu!😅🥂Naona uko unakunywa mifuko ya simenti hapo 😀😀😀
Kwa mfumo huu tutajenga kweli?
Jaribu grants 😊Af hii nishaizoea saivi silewi, nitafutie basi kitu kipya nitest
Eheeee kakaHii ndo mnayosemaga ni kama Hennessy??
Hii kitu vijana mnaipenda ila naona sio nzuri.View attachment 2536840mke akiona nipo na hii kitu
Kataa vilevi
Kataa walevi
Tunza main na figo yako
Tunza afya yako
[emoji23]
Weekend ijayo nitaitest, ngoja nimalizie hiiJaribu grants 😊
Ahaa sadi sanaWeekend ijayo nitaitest, ngoja nimalizie hii
Nakazia...Kuna tofauti kubwa ya mlevi na mnywaji. Si kila anakunywa pombe ni mlevi
Mbinguni tunapewa miili mipyaKataa vilevi
Kataa walevi
Tunza main na figo yako
Tunza afya yako
😂
Naona uko unakunywa mifuko ya simenti hapo [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa mfumo huu tutajenga kweli?
Ewaaaa!Kataa vilevi
Kataa walevi
Tunza main na figo yako
Tunza afya yako
[emoji23]
Ewaaaa!
Pombe ni sumu.
Pombe inadhalilisha.
Pombe inafilishi.
Kataa pombe kwa afya ya figo zako.
[emoji3][emoji3]Naona uko unakunywa mifuko ya simenti hapo [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa mfumo huu tutajenga kweli?
Unatunza afya YakoKataa vilevi
Kataa walevi
Tunza main na figo yako
Tunza afya yako
😂
Unatunza afya Yako
Alafu unakufa kizembe
Unagongwa na bodaboda