Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

Safi Sana,hii mbinu Nitakutumia siku yenye China inayoanza mapema
Karanga, korosho, ukitaka unywe kiwanda kizima gonga maziwa mtindi ya baridi pombe yote inapotea kama pepo wachafu
 
Nimeambiwa saa tano kigodoro, leo silali....
Utupe mrejesho yanayojiri huko,Kuna singeli moja inaimba"ingia Kati uonyeshe ugaigai mama" usikae mbali ukaona watoto wa kizaramo walivyo wagaigai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…