Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Aah wapi!umepiga picha ya meza jirani😂😂😂View attachment 2537535
Mmenisimanga sana mpka nimeagiza ili nionje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah wapi!umepiga picha ya meza jirani😂😂😂View attachment 2537535
Mmenisimanga sana mpka nimeagiza ili nionje
Umetoa wapi hii pic?[emoji28][emoji1635]
Nguvu za kumbeba Sasa ndio tatizo 🤔Inatakiwa apate mtu kama wewe
Aah wapi!umepiga picha ya meza jirani[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwasasa anatakiwa anywee home😅Nguvu za kumbeba Sasa ndio tatizo 🤔
Cape Town ipi?fish market au Capetown yenyewe yenyewe?Leo nilikuwa cape town sasa nimeangali jinsi ya kutuma humu video nikaona mb nyingi sana nika screen shoot
Umerudi kulala now?Leo nilikuwa cape town sasa nimeangali jinsi ya kutuma humu video nikaona mb nyingi sana nika screen shoot
Cape Town ipi?fish market au Capetown yenyewe yenyewe?
Wanywaji tunapendana Sana😂[emoji23][emoji23][emoji23] na huyo jirani akakubali siyo
Umerudi kulala now?
Mapema sanaNimeludi mda nimeona mamb yasiwe mengi nisije vunja vitu vya watu
Wanywaji tunapendana Sana[emoji23]
Mapema sana
Huyu ni mwema!saa sita keshatoroka kambini🤗Umerudi kulala now?
Umefeli kijana😅Yah nika waacha wabobez wapige show
Amefeli sanaHuyu ni mwema!saa sita keshatoroka kambini🤗
Huyu ni mwema!saa sita keshatoroka kambini[emoji847]
We kuwakuwa kwanza!haya mambo ya kuogopa kurudi nyumbani saa sita Mimi nitakuchapa bure 😁Dah ngoja week ijayo twende sehemu ila mm nakunywa soda ya fanta
Umefeli kijana[emoji28]
Safi sana mkuu!..cheers🥂