Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utoe chap tuje tupige vituNitakupa location uje na lenie
Kuna faida gani mtu akifa na maini mazima (mapya)?
Wakigoma kunywaKataa vilevi
Kataa walevi
Tunza main na figo yako
Tunza afya yako
😂
Uliona wapiTutawaachia wanaohitaji maini wagonjwa au Tz haipo hii kitu
[emoji867]
Pesa makaratasi, tumia zikuzoee
Utoe chap tuje tupige vitu
We si unajibania, shauri yakoMbona zimegoma kunizoea [emoji23][emoji23]
maini na figo wapi na Wapi kwenye pombe acha kututisha weweKataa vilevi
Kataa walevi
Tunza main na figo yako
Tunza afya yako
😂
We si unajibania, shauri yako
Utakufa uziache watumie wengine ambao hata hawajatoa jasho[emoji23]
Bora uzilewee tu, usuuze nafsi
😂😂😂 dahUzuri yule mbeba pochi atakuwepo pembeni yako[emoji28]
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
🥂🥂🥂Hakikisha inaishaKuna mzigo mwingine upo standby😊🥂
View attachment 2537892
Kwa kweli ya Nini kujitesa!Tutapewa maini mapya siku ya mwisho😂
Kwani Mwachiluwi anakunywa hata hizo bia Basi?anakunywa flying fish🤔Mwachiluwi hivi ndio vitu vya kunywa, achana na hayo mabia yanayojaza tumbo
Sio kwa ajili yake unakunywa ulewe!!acha uoga uogaLeo nitajaribu mkuu kwa ajili yako
Kwani Mwachiluwi anakunywa hata hizo bia Basi?anakunywa flying fish[emoji848]
Nitakupa location uje na lenie