Wakuu kwa wale wapenzi wa magari tofauti na ya kijapani kumekuwa changamoto za upatikanaki wa spea zake ukilinganisha na magari ya kijapani , tupeane location wapi pa kuzipata hasa kwa wenyeji wa Dar es Salaam
Mfano nina uhitaji wa engine mount za Mini Cooper 1.