Wale wapenzi wa magari ya Muingereza "Spea zake "

Wale wapenzi wa magari ya Muingereza "Spea zake "

Lee

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
43,973
Reaction score
150,463
Wakuu kwa wale wapenzi wa magari tofauti na ya kijapani kumekuwa changamoto za upatikanaki wa spea zake ukilinganisha na magari ya kijapani , tupeane location wapi pa kuzipata hasa kwa wenyeji wa Dar es Salaam

Mfano nina uhitaji wa engine mount za Mini Cooper 1.
 
Mta wa libya
Town
Kuna maduka ya spares za land-rover, vw...
 
Back
Top Bottom