Wale wapenzi wa Muziki wa Rumba ni ngoma gani kalii na album kalii unaikubali kutoka kwa Fally Ipupa

Wale wapenzi wa Muziki wa Rumba ni ngoma gani kalii na album kalii unaikubali kutoka kwa Fally Ipupa

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Album zake ni 1.Tokooos
2.Arsenal de Belles Melodies 3.Droit Chemin 4.Tokooos II 5.Power "Kosa Leka" 6.Control 7.Formule 7.
Kwangu album kalii kutoka kwake ni control na ina vibao kama maria na flye ila album zilizo nikosha roho sana yaani kali sana ni Tokooos kuna kibao amoure na kwenye formule 7 kuna vibao kama Marlene , science fiction,seyo,mayday,amour nayo, afsana, mal accompagne, zany, garde du coeur,couer Amoureux

Screenshot_20230918-203111.jpg
 
Back
Top Bottom