Wale wapenzi wa Reggae tukutane hapa! Taja ngoma yako unayoikubali

Wale wapenzi wa Reggae tukutane hapa! Taja ngoma yako unayoikubali

Wakuu karibia nyimbo zote zilizotajwa nimeziweka kwenye playlist ya Spotify just follow it if you can

 
Reggae ndio aina ya muziki ninao ukubali sana, kuna ile audio ya Lucky Dude alipiga Live concert akiwa Afrika Kusini hiyo kitu kila siku lazima nisikilize. Kuna vinanda vinapigwa humo ni hatari sana.

Alikamua hatari, si Ile amepiga magwanda ya kijeshi? Kuna wakati mpiga drums mzuka ulipanda alicharaza drums hatari.
 
Back
Top Bottom