mbota JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,054 Reaction score 585 Sep 16, 2022 #101 Wakuu karibia nyimbo zote zilizotajwa nimeziweka kwenye playlist ya Spotify just follow it if you can
Wakuu karibia nyimbo zote zilizotajwa nimeziweka kwenye playlist ya Spotify just follow it if you can
P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 11,682 Reaction score 14,241 Sep 19, 2022 #102 moshathedoniaa said: Alpha blond,jerusalem SOJA,you and me Click to expand... Alpha Blond; Fanta
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,242 Reaction score 45,930 Sep 20, 2022 #103 Papaa Gx said: Reggae ndio aina ya muziki ninao ukubali sana, kuna ile audio ya Lucky Dude alipiga Live concert akiwa Afrika Kusini hiyo kitu kila siku lazima nisikilize. Kuna vinanda vinapigwa humo ni hatari sana. Click to expand... Alikamua hatari, si Ile amepiga magwanda ya kijeshi? Kuna wakati mpiga drums mzuka ulipanda alicharaza drums hatari.
Papaa Gx said: Reggae ndio aina ya muziki ninao ukubali sana, kuna ile audio ya Lucky Dude alipiga Live concert akiwa Afrika Kusini hiyo kitu kila siku lazima nisikilize. Kuna vinanda vinapigwa humo ni hatari sana. Click to expand... Alikamua hatari, si Ile amepiga magwanda ya kijeshi? Kuna wakati mpiga drums mzuka ulipanda alicharaza drums hatari.