Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Kwanza jifunze kuandika kiswahili fasaha ndio uje kubishana na mimiSasa wee mwelevu umefata nini humu Kwa wajinga?, Wee ni mjinga zaidi yao au tukuite wew ni zuzu??
SawaUganda hawana uwanja unaokidhi vigezo takiwa.
Hizi labda ni yellow cardsTZ 7 - 0 UG
Kwahiyo huyo Allah yeye kwake dhambi ni ushoga tu na sio mengineUganda ndio nchi pekee imepinga ushoga hadharani na kutunga sheria Kali dhidi ya huu ushetani.
Allah awajaalie mafanikio mema Uganda Cranes.
Viva[emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254]
Kwani shirikisho na klabu bingwa,ni yapi mashindano yenye hadhi?????Mkuu vipi mbona unanihusianisha na hao pimbi? Mwarabu toka lini akafananishwa na hao vibonde[emoji23][emoji23]?
Nawakumbusha tu watu tarehe 1 April tutakutana jijini Casablanca, tutafanya mauaji ya sharubela kwa hao[emoji250][emoji834] wanaojiita[emoji881]
Habari hii imfikie kubwa la mikia wa kike Kalpana
Mwehu wewe....Mkuu vipi mbona unanihusianisha na hao pimbi? Mwarabu toka lini akafananishwa na hao vibonde[emoji23][emoji23]?
Nawakumbusha tu watu tarehe 1 April tutakutana jijini Casablanca, tutafanya mauaji ya sharubela kwa hao[emoji250][emoji834] wanaojiita[emoji881]
Habari hii imfikie kubwa la mikia wa kike Kalpana
Mu7 kung'ang'ania Urais mpaka amezeekea hapo kumbe hana hata kiwanja!? [emoji2297]Uganda hawana uwanja unaokidhi vigezo takiwa.
JF ni kokoro linakusanya mpaka machizi. Huyu chizi ana Id 3 alifungua kwa ajili ya Vipers, Horoya na Raja dhidi ya Simba. Sasa ameaibika inabidi ahamie kwa StarsWengine mnafanya kama utani ila hizi timu mbili kubwa zimewaharibu watu vibaya Sana jitu lipo radhi kabisa kuitakia kheri Uganda inasikitisha Sana.
Naona kibonde wenu amewafunga🤣🤣🤣🤣😂😂😂Uzi huu ni mahususi kwa waganda wenzangu waliopo humu jamii forum na pia kwa mashabiki na watu wote wenye mapenzi mema na Uganda.
Kesho tunacheza na kibonde wetu Tanzania( Taifa stars) huko nchini Misri.
Mchezo huu utaanza majira ya saa 11 za jioni na utapigwa katika dimba la Suez Canal lililopo jijini Ismailia.
Weka utabiri wako hapo chini, bila kusahau kuwatakia kheli za kutosha waganda kwani waafrika wote ni ndugu na Afrika ni moja.
[emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji736][emoji736][emoji736]
Naona kweli leo mumewafunga vibonde wenu.🤣🤣🤣🤣Mashabiki wa Uganda tupo wengi....
Sisi tunasema vipigo viendelee
FT ug 3-0 Vibonde
🤣🤣🤣🤣🤣Mmeangukia pua mafi yakuku nyie. Na bado kwa mkapa tunakuja kumaliza kuwapika upande wa pili wa chapati
Na SsebijooSserenkuma, Ssekalala, Ssemakula bila kusahau wapare wote wenye majina yanayoanza na Se km kina Senkoro, Semvua, Senzighe nyie ni Waganda