Wale wapenzi wa timu ya Taifa ya Uganda(Uganda Cranes) Tukutane hapa

Wale wapenzi wa timu ya Taifa ya Uganda(Uganda Cranes) Tukutane hapa

Wengine mnafanya kama utani ila hizi timu mbili kubwa zimewaharibu watu vibaya Sana jitu lipo radhi kabisa kuitakia kheri Uganda inasikitisha Sana.
 
Uganda ndio nchi pekee imepinga ushoga hadharani na kutunga sheria Kali dhidi ya huu ushetani.
Allah awajaalie mafanikio mema Uganda Cranes.
Viva[emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254]
Kwahiyo huyo Allah yeye kwake dhambi ni ushoga tu na sio mengine
 
Mkuu vipi mbona unanihusianisha na hao pimbi? Mwarabu toka lini akafananishwa na hao vibonde[emoji23][emoji23]?
Nawakumbusha tu watu tarehe 1 April tutakutana jijini Casablanca, tutafanya mauaji ya sharubela kwa hao[emoji250]‍[emoji834] wanaojiita[emoji881]
Habari hii imfikie kubwa la mikia wa kike Kalpana
Kwani shirikisho na klabu bingwa,ni yapi mashindano yenye hadhi?????
 
Mkuu vipi mbona unanihusianisha na hao pimbi? Mwarabu toka lini akafananishwa na hao vibonde[emoji23][emoji23]?
Nawakumbusha tu watu tarehe 1 April tutakutana jijini Casablanca, tutafanya mauaji ya sharubela kwa hao[emoji250]‍[emoji834] wanaojiita[emoji881]
Habari hii imfikie kubwa la mikia wa kike Kalpana
Mwehu wewe....
 
Wengine mnafanya kama utani ila hizi timu mbili kubwa zimewaharibu watu vibaya Sana jitu lipo radhi kabisa kuitakia kheri Uganda inasikitisha Sana.
JF ni kokoro linakusanya mpaka machizi. Huyu chizi ana Id 3 alifungua kwa ajili ya Vipers, Horoya na Raja dhidi ya Simba. Sasa ameaibika inabidi ahamie kwa Stars
 
Uzi huu ni mahususi kwa waganda wenzangu waliopo humu jamii forum na pia kwa mashabiki na watu wote wenye mapenzi mema na Uganda.

Kesho tunacheza na kibonde wetu Tanzania( Taifa stars) huko nchini Misri.
Mchezo huu utaanza majira ya saa 11 za jioni na utapigwa katika dimba la Suez Canal lililopo jijini Ismailia.

Weka utabiri wako hapo chini, bila kusahau kuwatakia kheli za kutosha waganda kwani waafrika wote ni ndugu na Afrika ni moja.
[emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji736][emoji736][emoji736]
Naona kibonde wenu amewafunga🤣🤣🤣🤣😂😂😂
 
Back
Top Bottom