Wale wapenzi wa timu ya Taifa ya Uganda(Uganda Cranes) Tukutane hapa

Wale wapenzi wa timu ya Taifa ya Uganda(Uganda Cranes) Tukutane hapa

Uzi huu ni mahususi kwa waganda wenzangu waliopo humu jamii forum na pia kwa mashabiki na watu wote wenye mapenzi mema na Uganda.

Kesho tunacheza na kibonde wetu Tanzania( Taifa stars) huko nchini Misri.
Mchezo huu utaanza majira ya saa 11 za jioni na utapigwa katika dimba la Suez Canal lililopo jijini Ismailia.

Weka utabiri wako hapo chini, bila kusahau kuwatakia kheli za kutosha waganda kwani waafrika wote ni ndugu na Afrika ni moja.
[emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji1254][emoji736][emoji736][emoji736]
Ukome
 
Kutokana na kukosea kubashiri mechi zilizopita, kama Vipers vs Simba, Simba vs Viper pia &Simba vs Horoya, naona unaenda kukosea tena .
NB: Taifa stars wanaenda kushida dhidi ya Uganda.
Umepatia
 
Back
Top Bottom