Wale wapigaji wa maji au vyombo tukutane hapa

Wale wapigaji wa maji au vyombo tukutane hapa

Bia safari konyagi na k vant ndio vileo rasmi
Hivyo vingine mbwembwe tu
 
Kuna mahusiano gani ya nguvu za kiume na konyagi? Naitumiaga kama viagra nikiwa na game la kibabe. Je kuna madhara ntakuja pata mbeleni kuhusu human power like those who are using viagra?
 
Kuna mahusiano gani ya nguvu za kiume na konyagi? Naitumiaga kama viagra nikiwa na game la kibabe. Je kuna madhara ntakuja pata mbeleni kuhusu human power like those who are using viagra?
Piga vyombo mkuu madhara yake ni baada ya miaka 80
 
Kuna mahusiano gani ya nguvu za kiume na konyagi? Naitumiaga kama viagra nikiwa na game la kibabe. Je kuna madhara ntakuja pata mbeleni kuhusu human power like those who are using viagra?
Konyagi ni dry gin sifa yake kubwa ni kusambaza ganzi sehemu za mwili kama usoni hadi kwenye kikojoleo hivyo ukitumia konyagi unaeza cheza ata dakika za nyongeza bila wazungu kutoka kwa sababu ya ganzi ya konyagi katika mfumo wa fahamu.Konyagi haina mazara kwenye machine yako ila ukiitumia kwa muda mrefu utakua mtu wa hasira na jicho kuwa nyanya muda wote.
 
Mkuu umeniudhi kwenye wine hujataja wine yetu pendwa saint anna[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
 
Wadada walipenda sana mvinyo wa saint anna pembeni savanna ila vyuma vilivyo kaza xaiv wanaagiza kibo na plisner utasikia leta kaaaibo gold baridii.
 
Cocktail nzuri iwe na club soda kidogoo na limao bila kusahau barafu ndiyo ina noga zaidi.
 
Mkuu kunao kitu unaitwa tikila, inapatikana Tz kweli, na ikoje ikoje mpaka bei yake?
 
Mkuu kunao kitu unaitwa tikila, inapatikana Tz kweli, na ikoje ikoje mpaka bei yake?
Tequila zipo bongo sana iliyosambaa ipo Sentera tequila na Tiki tequila hii inafanana laza sana na vodka nanasi bei chupa ml700 inaazia 18000.
 
Back
Top Bottom