Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Piga vyombo mkuu madhara yake ni baada ya miaka 80Kuna mahusiano gani ya nguvu za kiume na konyagi? Naitumiaga kama viagra nikiwa na game la kibabe. Je kuna madhara ntakuja pata mbeleni kuhusu human power like those who are using viagra?
Konyagi ni dry gin sifa yake kubwa ni kusambaza ganzi sehemu za mwili kama usoni hadi kwenye kikojoleo hivyo ukitumia konyagi unaeza cheza ata dakika za nyongeza bila wazungu kutoka kwa sababu ya ganzi ya konyagi katika mfumo wa fahamu.Konyagi haina mazara kwenye machine yako ila ukiitumia kwa muda mrefu utakua mtu wa hasira na jicho kuwa nyanya muda wote.Kuna mahusiano gani ya nguvu za kiume na konyagi? Naitumiaga kama viagra nikiwa na game la kibabe. Je kuna madhara ntakuja pata mbeleni kuhusu human power like those who are using viagra?
Unachanya zanzi na konyagi au pombe yoyote kali. Sinywi nyagi kavu kavuDuh bora zanzi kitu maziwa ila nyagi utakua na hasira za ajabuu na macho mekundu mkuu.
Ukiongeza grant na limau utakua umetengeneza cocktail moja safi sanaKitu Zanzi na Nyagi..
Thanx for the tipUkiongeza grant na limau utakua umetengeneza cocktail moja safi sana
HahahahahaNikipata captain morgan naweza nikasimamisha gari ya pt niwaulize kwa nini wana zurura usiku.
Tequila zipo bongo sana iliyosambaa ipo Sentera tequila na Tiki tequila hii inafanana laza sana na vodka nanasi bei chupa ml700 inaazia 18000.Mkuu kunao kitu unaitwa tikila, inapatikana Tz kweli, na ikoje ikoje mpaka bei yake?
Mtakutana buchani..Na wanyama Choma pekee tukutane wapi?
Sawa kabisa mkuu Malibu is the best rum ina flavour ya coconut..Kuna
Kitu inaitwa Malibu. Ni noma sana