Wale ' Wapuuzi ' wachache wa Simba SC niliowaambieni kuwa Kocha Masoud Djuma hatufai na ' mkanidhihaki ' rudini muombe radhi

Ila mkuu, tutamkumbuka Masoud Djuma mimi nakuambia! Hata ubingwa ule kimsingi sio wa Lechantre, ni wa Masoud Djuma. Huyu mbeligiji tulijitahidi sana ndio kama mechi ya jana na African Lyon. Ila nimefurahi Masoud anaenda Kenya kuliko angeenda Yanga
 
Hela wanayo ya kubadilisha makocha. Nyinyi komaeni na wakongo nadhani baada ya mwaka mmoja Club itabadilishwa jina na kuwa Sebene band
 
Hela wanayo ya kubadilisha makocha. Nyinyi komaeni na wakongo nadhani baada ya mwaka mmoja Club itabadilishwa jina na kuwa Sebene band
Watakatisha pesa na wapiga dilii. vìongozi wote waliochaguliwa kwa kura wapô jela na wengine wamekimbia nchi sababu ya pesa za dili na utatishaji
 
Hela wanayo ya kubadilisha makocha. Nyinyi komaeni na wakongo nadhani baada ya mwaka mmoja Club itabadilishwa jina na kuwa Sebene band
Umeongea siasa mie nimeongea mpira, kwanini usinijibu tecnicalities za mpira badala ya siasa za mpira.
 
Gents anakataa kuwa Masoud hajaipa Simba ubingwa. Masoud ni kocha bora zaidi kuliko huyu mbelgiji kwa mechi hizi chache ambazo Simba wamecheza. Ukitaka kujua kocha mzuri ni kwenye subs, jamaa subs zake huwa ni vichekesho hazina impact yoyote.
Ila mkuu, tutamkumbuka Masoud Djuma mimi nakuambia! Hata ubingwa ule kimsingi sio wa Lechantre, ni wa Masoud Djuma. Huyu mbeligiji tulijitahidi sana ndio kama mechi ya jana na African Lyon. Ila nimefurahi Masoud anaenda Kenya kuliko angeenda Yanga
 
Halafu kocha unayemtimua ameiwezesha timu kuchukua ubingwa. Unamtoa kocha kwa performance na sio umbeya.
timu

timu yyete serious haiwezi kufanya mabadiliko ya bench lake la ufundi katikati ya ligi tena ikiwa inafanya vizuri
 
Patrick sio kocha wa kuipa ubingwa Simba, kutakuwa na sare nyingi sana kwa style ya huyu kocha. Alimhitaji sana Masoud kumsaidia.
Hakuna kocha hapo simba mfaransa rudi tu maana Patrick naye sio muda
 
Gents sijawahi kuona post yako humu ukiongea technicalities za mpira, mara nyingi unaongea siasa za mpira na uchawi
Masoud is technically sound kuliko huyu rafiki yako.
Kwa ufundi wa Masoud yanga wasingetoa draw kwa kushambuliwa dakika 90
 
Alitoka Simba kwa migogoro ya benchi la ufundi, sioni kama atakaa muda mrefu. Huyo kocha mpya anapenda 'pedestrian football' kwa bongo utapata sare nyingi sana.
Selemani Matola midfield hatari!!!
 
Alitoka Simba kwa migogoro ya benchi la ufundi, sioni kama atakaa muda mrefu. Huyo kocha mpya anapenda 'pedestrian football' kwa bongo utapata sare nyingi sana.
Uongozi umebadilika hope atadumu!!!!
 
Mi naona hawa simba wameanza kutafuta sababu baada ya kuona matokeo ya mechi wanazocheza hayana msisimko kama walivyotarajia mfano maneno yao ya 4G, yanga watashukua daraja hayasikiki kwa sasa zaidi wamekuwa wakikumbwa na sare mara kufungwa, mara ushindi wa goli moja wanaona sasa wapate sababu itakayoaminisha mashabiki wao nini kimeharibu matumaini ya timu yao. Kwa akili zao ilibakia kidogo wamtuhumu huyo kocha kuwa aliuza mechi siku simba ilipocheza na yanga, tumieni mabilioni yenu kuongoza ligi.
 
Unapata wapi ujasiri wa kusema kutoa droo 2 na kupigwa 1 kwamba timu inapoteza uelekeo,? wakati kuna mechi 30+ mbele.
Timu yako unaipa ubingwa kwa mechi 6 tu..tena za nyumbani dar kweli... Ngoja utoke nje ya dar na mzunguko wa kwanza uishe ndio useme ubora wa timu yako ni upi na ubovu wake
 
Ujasiri napata kwa dalili zilizopo sasa, kucheza nyumbani siyo sababu ya kutisha mbona siku simba alipocheza na yanga alikuwa nyumbani. Pia ligi haina mwanzo wala katikati mechi zote zina point sawa na zinahesabika mpaka mwisho wa ligi, ukisema mwanzoni ucheze unavyojisikia utakuja kudidia mwishoni naona siyo sahihi.

Hayo mengine tuachane nayo tuzungumzie hili la yanga itashuka daraja mbona siku hizi hamlisemi?, nini kimewasibu ndugu zetu?
 
Wacha uwongo jicho lako ni kawaida tu kama binadamu mwingine awaye yote. Mara ngapi unakuja na maono yako hapa jamvini na majigambo kibao, lakini matokeo huwa ni kinyume? Au wakati huo macho yako ya dhahabu waga unayapa likizo na unatumia ya kawaida mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…