Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Jiwe pia akiwemo?Chunguza Watu wengi wanaomtaja sana Mwenyezi Mungu ndiyo huwa ni wabaya, wanafiki na wana roho mbaya ya Kimataifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwe pia akiwemo?Chunguza Watu wengi wanaomtaja sana Mwenyezi Mungu ndiyo huwa ni wabaya, wanafiki na wana roho mbaya ya Kimataifa.
View attachment 889590
Mmh mambo yenyewe haya
Viongozi wa Simba wanapenda kuwa na maugomvi na makocha wazuri, timu gani haikai na kocha misimu hata miwili. Kama kocha amewapa ubingwa stick with him achana na off-pitch tantrums. Hata huyo Matola Simba walimboa akaondoka zake eti leo wanamuona lulu.
Sasa kwa style ya huyu kocha wa sasa ubingwa unaweza usipatikane, magoli machache tena ya mbinde, sub hazina macho wala masikio, refer sub za leo na African Lyon.
Watakatisha pesa na wapiga dilii. vìongozi wote waliochaguliwa kwa kura wapô jela na wengine wamekimbia nchi sababu ya pesa za dili na utatishajiHela wanayo ya kubadilisha makocha. Nyinyi komaeni na wakongo nadhani baada ya mwaka mmoja Club itabadilishwa jina na kuwa Sebene band
Umeongea siasa mie nimeongea mpira, kwanini usinijibu tecnicalities za mpira badala ya siasa za mpira.Hela wanayo ya kubadilisha makocha. Nyinyi komaeni na wakongo nadhani baada ya mwaka mmoja Club itabadilishwa jina na kuwa Sebene band
Ila mkuu, tutamkumbuka Masoud Djuma mimi nakuambia! Hata ubingwa ule kimsingi sio wa Lechantre, ni wa Masoud Djuma. Huyu mbeligiji tulijitahidi sana ndio kama mechi ya jana na African Lyon. Ila nimefurahi Masoud anaenda Kenya kuliko angeenda Yanga
timu
timu yyete serious haiwezi kufanya mabadiliko ya bench lake la ufundi katikati ya ligi tena ikiwa inafanya vizuri
Hakuna kocha hapo simba mfaransa rudi tu maana Patrick naye sio muda
Kocha Masoud Djuma ameipa Simba SC Ubingwa lini? Kuna Watu ni ' Wapuuzi ' sijawahi kuona. Uwezo wako wa kufuatilia mpira ni mdogo sana hebu jitahidi ujifunze Kwanza kisha ukishaona umeujua karibu tena hapa Jamvini. Eti Masoud Djuma Irambona ameipa Simba SC Ubingwa. Kuna Watu mnakera humu hadi tunashindwa Kuwavumilieni. Wewe ulidhani nilipokuwa namkosoa Djuma nilikuwa napoteza tu muda wangu hapa JF? Jicho langu ni la ' dhahabu ' na likiona Kitu kiwe kibaya au kizuri jua 99.99% sijakikosea!
Selemani Matola midfield hatari!!!
Uongozi umebadilika hope atadumu!!!!Alitoka Simba kwa migogoro ya benchi la ufundi, sioni kama atakaa muda mrefu. Huyo kocha mpya anapenda 'pedestrian football' kwa bongo utapata sare nyingi sana.
Uongozi umebadilika hope atadumu!!!!
Unapata wapi ujasiri wa kusema kutoa droo 2 na kupigwa 1 kwamba timu inapoteza uelekeo,? wakati kuna mechi 30+ mbele.Mi naona hawa simba wameanza kutafuta sababu baada ya kuona matokeo ya mechi wanazocheza hayana msisimko kama walivyotarajia mfano maneno yao ya 4G, yanga watashukua daraja hayasikiki kwa sasa zaidi wamekuwa wakikumbwa na sare mara kufungwa, mara ushindi wa goli moja wanaona sasa wapate sababu itakayoaminisha mashabiki wao nini kimeharibu matumaini ya timu yao. Kwa akili zao ilibakia kidogo wamtuhumu huyo kocha kuwa aliuza mechi siku simba ilipocheza na yanga, tumieni mabilioni yenu kuongoza ligi.
Ujasiri napata kwa dalili zilizopo sasa, kucheza nyumbani siyo sababu ya kutisha mbona siku simba alipocheza na yanga alikuwa nyumbani. Pia ligi haina mwanzo wala katikati mechi zote zina point sawa na zinahesabika mpaka mwisho wa ligi, ukisema mwanzoni ucheze unavyojisikia utakuja kudidia mwishoni naona siyo sahihi.Unapata wapi ujasiri wa kusema kutoa droo 2 na kupigwa 1 kwamba timu inapoteza uelekeo,? wakati kuna mechi 30+ mbele.
Timu yako unaipa ubingwa kwa mechi 6 tu..tena za nyumbani dar kweli... Ngoja utoke nje ya dar na mzunguko wa kwanza uishe ndio useme ubora wa timu yako ni upi na ubovu wake
Kocha Masoud Djuma ameipa Simba SC Ubingwa lini? Kuna Watu ni ' Wapuuzi ' sijawahi kuona. Uwezo wako wa kufuatilia mpira ni mdogo sana hebu jitahidi ujifunze Kwanza kisha ukishaona umeujua karibu tena hapa Jamvini. Eti Masoud Djuma Irambona ameipa Simba SC Ubingwa. Kuna Watu mnakera humu hadi tunashindwa Kuwavumilieni. Wewe ulidhani nilipokuwa namkosoa Djuma nilikuwa napoteza tu muda wangu hapa JF? Jicho langu ni la ' dhahabu ' na likiona Kitu kiwe kibaya au kizuri jua 99.99% sijakikosea!