GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Wacha uwongo jicho lako ni kawaida tu kama binadamu mwingine awaye yote. Mara ngapi unakuja na maono yako hapa jamvini na majigambo kibao, lakini matokeo huwa ni kinyume? Au wakati huo macho yako ya dhahabu waga unayapa likizo na unatumia ya kawaida mkuu?
Matusi ya nini mkuu? Au kukueleza ukweli ndiyo unatoa matusi. Nilikuwa nakuheshimu ila kwa tabia hii ya kutusi kila anayekupa ukweli naanza kukupuuza.Umeshamaliza ' Kuutawaza ' Ubongo wako?
Matusi ya nini mkuu? Au kukueleza ukweli ndiyo unatoa matusi. Nilikuwa nakuheshimu ila kwa tabia hii ya kutusi kila anayekupa ukweli naanza kukupuuza.