Wale ' Wapuuzi ' wachache wa Simba SC niliowaambieni kuwa Kocha Masoud Djuma hatufai na ' mkanidhihaki ' rudini muombe radhi

Wale ' Wapuuzi ' wachache wa Simba SC niliowaambieni kuwa Kocha Masoud Djuma hatufai na ' mkanidhihaki ' rudini muombe radhi

Wacha uwongo jicho lako ni kawaida tu kama binadamu mwingine awaye yote. Mara ngapi unakuja na maono yako hapa jamvini na majigambo kibao, lakini matokeo huwa ni kinyume? Au wakati huo macho yako ya dhahabu waga unayapa likizo na unatumia ya kawaida mkuu?

Umeshamaliza ' Kuutawaza ' Ubongo wako?
 
Umeshamaliza ' Kuutawaza ' Ubongo wako?
Matusi ya nini mkuu? Au kukueleza ukweli ndiyo unatoa matusi. Nilikuwa nakuheshimu ila kwa tabia hii ya kutusi kila anayekupa ukweli naanza kukupuuza.
 
Matusi ya nini mkuu? Au kukueleza ukweli ndiyo unatoa matusi. Nilikuwa nakuheshimu ila kwa tabia hii ya kutusi kila anayekupa ukweli naanza kukupuuza.

Hujajibu bado swali langu ' Kuntu ' kabisa je umeshamaliza ' Kuutawaza ' Ubongo wako? Hivi ukinipuuza Wewe utakuwa umeniongezea au umenipunguzia nini? GENTAMYCINE tayari ni ' brand ' tosha na ndiyo maana unaona kila siku napokea tu ' Followers ' wengi hapa JF na nasomwa / naangaliwa na wengi kutokana na ' unique identity ' yangu hasa Kiuwasilishaji. Wewe unadhani ' Signature ' yangu hii ya ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' imekosewa au imeanzishwa tu Kimakosa au kwa Kukurupuka?
 
Naunga mkono hoja, nimetoka kuwajibu baadhi ya watu kwenye mtandao huko, djuma alijisahau sana kilichomleta yeye anataka kuwa kocha mkuu tofauti lengo la Simba

Aussems amesema Djuma anatabia ambayo haiwezi kuipa mafanikio Simba

Haiwezekani makocha watatu waache ripoti ya kumnyoshea vidole djuma

Viongozi walijitahidi kuwaweka sawa lakini imeshindikana, kwahivyo lazima iwe hivyo na wanaotaka abaki wawe na sababu kwanini abakie..SimbaNguvuMoja
 
Back
Top Bottom