Umeongea ukweli kabisa ni ngum sana kukuta main chick kaweka miguu hivi.Hao siyo washamba, acha kuonea wivu michepuko. Huwa inajimwaga kukomoa màma mjengo.
Au sio 😂😂😂🏃🏽♂️🏃🏽♂️Huyu hata miguu ikifika shingoni hawezi kupata madhara, hizo shanga miguuni zinaonyesha ni mtu kazi.
Msemo huo unaitwa popo kanyea mbinguWale washamba mnaowekaga miguu hapo, ajali ikitokea na airbag ikifunguka hiyo miguu utaikuta shingoni😂😂😂View attachment 3165736
Miguu ikienda shingoni unakamalisha ule msemo wa kifo cha mende chali..🤣🤣🤣
Tumuguu hatuna hata mvuto. Tupo kama tumuguu twa dogo magari bwana.Wale washamba mnaowekaga miguu hapo, ajali ikitokea na airbag ikifunguka hiyo miguu utaikuta shingoni😂😂😂View attachment 3165736
Miguu ikienda shingoni unakamalisha ule msemo wa kifo cha mende chali..🤣🤣🤣
Kikuku kinanukia hahaaa yekeyeke ova yekeyeke.Wale washamba mnaowekaga miguu hapo, ajali ikitokea na airbag ikifunguka hiyo miguu utaikuta shingoni😂😂😂View attachment 3165736
Miguu ikienda shingoni unakamalisha ule msemo wa kifo cha mende chali..🤣🤣🤣
Nayo ipo hivyo hivyo kama ya mwenzako hiyo ya kwenye picha ambayo haina tofauti na miguu ya Diamond au yako ipoje? Weka picha tuone kama yaliyomo yapo😀😀😀Mda huu nimeweka miguu kama hivi