Wale wataalam wa namba, namba 2022 imepita, bila bila 2023 inasomekaje?

Wale wataalam wa namba, namba 2022 imepita, bila bila 2023 inasomekaje?

marehem x

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2022
Posts
513
Reaction score
792
Ule Mwaka 2022 umeniendea vibaya Sana. Sijui hata huu 2023 labda ninyi watu wa number mwaweza Sema lolote.

Nakumbuka nilikosana na mazingira ya kazi tangia 2021 mwishoni. Mwaka 2022 implementation ya usumbuf, KERO na maudhi viliniandama.

Ee mola ufanye 2023 uwe mwepesi kwangu.
 
Yule mtabiri wetu yuko wapi nakumbuka alituhadithia ndoto yake kuwa mwezi December kuna kitu kitatokea ..... mpaka sasa naona bilabila ... au nyie wenzangu kuna kitu mmesikia alicho tabiri
 
Back
Top Bottom