Wale wataalamu wa kuchanganya perfume/body spray

Wale wataalamu wa kuchanganya perfume/body spray

Sokoni wapi,shimoni?,njia ipi,kuelekea mashariki au magharibi,kuelekea njia ya mwendokasi au .....
 
ukiingia intagram kuna page kibao za perfume za kupima andika tu "scents tz" zitakuja page nyingi utachagua kulingana na bei
 
ukiingia intagram kuna page kibao za perfume za kupima andika tu "scents tz" zitakuja page nyingi utachagua kulingana na bei

Kwa mtu ambae hajui perfume atahitaj kusmell perfume sasa insta hatajuaje smell ya perfume chief!!
 
ingia insta andika" glamoscents_tz_"

au andika "perfume za kupima"
 
Ukichukua kiss of love perfume na hashtag perfume unapata harufu amazing kinyama

Ningekuwa naweza kuweka picha ya hiyo harufu ningeweka
weka hata picha ya Kinyama mama tutaelewa,achana na hiyo amazing😊
 
Ukishafika pale stand kariakoo kwenye soko pale unanyoosha na barabara moja kwa moja kama hatua kumi au kumi na tano ukiuliza tu pale wanapooza perfume za jumla na rejareja au za kupima utaoneshwa n karibu tu
Stendi ipi mzee [emoji1]
 
Back
Top Bottom