MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,099
- 7,466
Mkuu sikio kitu kingine sio cha mchezo mchezo kujaribu kila dawa
Ni dawa hata mimi naijua hivyo jamaa hatanii. mkojo wa punda jike ndo mzuri zaidi na hutibu haraka.Mkuu sikio kitu kingine sio cha mchezo mchezo kujaribu kila dawa
Sijafahamu vizuri tatizo ili niangalie kipi kitafaa zaidi.MKUU NISAIDIE DAWA YA MAKOOZI YAPO KOONI LAKINI HAYATOKI NA WALA SIKOHOI NILIAMBIWA EITHER NI ALERG YA VUMBI LAKINI MPAKA SASA HAIJAISHA NINI MBADALA MKUU NISAIDIE NIYATOE KABISA