Wale wataalamu wa kutumia miti shamba kwa ajili ya tiba

Wale wataalamu wa kutumia miti shamba kwa ajili ya tiba

Mkuu sikio kitu kingine sio cha mchezo mchezo kujaribu kila dawa
Ni dawa hata mimi naijua hivyo jamaa hatanii. mkojo wa punda jike ndo mzuri zaidi na hutibu haraka.
lakin pamoja na kutibu sijui mgunduzi wa dawa hii aligunduagunduaje?
 
LINGEKUA NA USAA HUWA DAWA NI DAMU YA KINYONGA UNAKATA MKIA UNAWEKA PANDE ZOTE, LINAKAUKA KABISA
 
MKUU NISAIDIE DAWA YA MAKOOZI YAPO KOONI LAKINI HAYATOKI NA WALA SIKOHOI NILIAMBIWA EITHER NI ALERG YA VUMBI LAKINI MPAKA SASA HAIJAISHA NINI MBADALA MKUU NISAIDIE NIYATOE KABISA
Sijafahamu vizuri tatizo ili niangalie kipi kitafaa zaidi.
Kuna mti shamba unaitwa Lobelia (Indian tobacco ) umekuwa msaada kwa maelfu ya watu kukuacha na kuondoa makohozi.

Ukiweka matone machache kila baada ya dakika kadhaa kutegemeana na unavyojisikia kohoni it a fanya cough muscles kurelax na kulegeza kamasi lote.
Jaribu kutafuta hiyo kitu kwenye maduka ya wataalam wa miti shamba....
Inaweza kusaidia mkuu.
 
Back
Top Bottom