huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
hata mm nilikuwa najua hivoMchezaji akifikisha kadi 3 na sio lzm iwe mfululizo. Ninavyojua mimi. I stand to be corrected
Three consecutive games.
Zinatakiwa zifuatane. Mfano tizama ata uefa kadi mbili consecutive automatic anakosa game inayofuata. Ila akipata alafu game inayofuata akakosa kadi yake inakuwa imekwisha.
Uko sahihiMchezaji akifikisha kadi 3 na sio lzm iwe mfululizo. Ninavyojua mimi. I stand to be corrected
NoThree consecutive games.
Mbona ukata tamaa hivyo mkuu?? Kuna nini nyuma ya pazia??Dah kumbe.......
Mbona ukata tamaa hivyo mkuu?? Kuna nini nyuma ya pazia??