huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
habarini wanajamvi.........
Hivi ili mchezaji akose mechi inayofuata anatakiwa apate kadi za njano tatu mfululizo au hata kwa intervals.?
naombeni msaada kuna ubishi mkali hapa.....
Wengine wanasema lazima apate kadi tatu za njano ndo akose mechi inayofuata,wengine wanasema siyo mpaka apate njano tatu mfululizo hata akipata kwa round tofaut inayofuata atakosa,,,,,,,
Ukweli ni upi hapa?